Marioo – Dakika 1440 Hunitoki Boo Mp3 Download

Marioo – Dakika 1440 Hunitoki Boo Mp3 Download

Marioo – Dakika 1440 Hunitoki Boo Mp3 Download

Away is a new song audio mp3 presented by Marioo X Harmonize download and listen to Away dakika 1440 masaa 24 uondoki tu kwente moyo wangu jenga ishi sawa sema su naiona sura yako nataja jina lako you are my angel sweet sioni kama nitapata zaidi ya wewe nataka niwe na milele uzuri wako nakesha nakuombea najiombea my baby boo nakuongelea sio tu damu hata figo nakutolea baby wewe ulinifuta machungu sio kama nitapata zaidi ya lyrics music mp4 video by Marioo X Harmonize mario hamonize amonaiz konde boy jeshi tembo nyimbo wimbo mpya 2023.

DOWNLOAD


AWAY LYRICS

Masaa 24 huondoki tu 
Kwenye moyo wangu jenga 
Sawa maana kila unapodunda Puuh 

Nataja jina lako 

Kwenye moyo wangu Ishi 

Kila napotaka sema suuh baby 

Naiona sura yako 

You're my angel Olalalaah

You're my everything 

You're my everything 

You're my sweetie Talalah 

Mi nataka niwe na wewe milele 

Don't you go away 

Sioni kama ntapata zaidi ya wewe 

Don't you go away 

Mi nataka niwe na wewe milele 

I know I know I know 

Uzuri Uzuri wako unawapa chefu 

Wenye chuki na hila 

Basi kama rahisi kuwa na shepu 

Waka jaribu Mloganzila

Eti nakesha nakuombea 

Ndo kisha najiombea 

Cause I see this love in the air 

And I promise to never share 

My baby boo asa mbona 

Huniishi hamu 

Kutwa kucha nakuongelea 

Wewe nakuongelea 

And I swear baby sio tu damu 

Hata figo ntakutolea 

Wewe nakutolea 

Mwenzako huko nyuma nshazunguka Sitaki hata kumbuka machungu 

Yale si mapenzi vitunguu 

Ila baby wewe ulinifuta machungu 

Siku ukienda Utaniua mende 

Kwa bonge la rungu 

Don't you go away 

Sioni kama ntapata zaidi ya wewe 

Don't you go away 

Mi nataka niwe na wewe milele 

Don't you go away 

Sioni kama ntapata zaidi ya wewe 

Don't you go away 

Mi nataka niwe na wewe milele

No comments:

Powered by Blogger.