AUDIO Nandy X Vijana Barubaru – Sasa Hivi Refix Mp3 Download
Sasa Hivi Refix is a remix new song audio mp3 presented by Nandy X Vijana Barubaru download and listen to Sasa Hivi Refix sasa ivi hivi mp4 video by Nandy X Vijana Barubaru nyimbo mpya wimbo nand nandi 2023
Noted Lyrics
Washajua wazazi
Pacha wangu mimi mwili wewe nafsi
Furaha yangu hata tusombwe na simanzi
Mapenzi upofu ntakufuata hadi gizani, uuje
Ushanichanga ruhusu nikutunze
Jinsi ya kukupenda nijifunze
Hadi uzeeni penzi tulikuze
Hio naeza guarantee
Kesho yetu usifananishe na jana
lami na reli hazitoshani upana
uchumi mbaya but I spend my today with you
leo iko na guarantee
Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana
you’re my rosee but I still give you flowers
ntakupenda saaa iii
na kasiii sahiiiiii yan sasa hivi
Sasa hiviiii sasa hiviii
sasa hiviiiii ntakupenda sahiiiiii
No comments: