AUDIO | Zuchu – Utaniua Acoustic (Mp3 Audio Download)
UTANIUWA LYRICS
Ona anacheka kama mazuri
Anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli
Eti kumwacha naanzaje asa kusepa natoa wapi jeuri
Na kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufulii
Oh baby mimiapa taabani (Wewee utani ua niua)
Nimeoza dah Yarrabi sihemi (Wewee utaniua niua)
Ah hizo raha zakoo (Wewee utaniua niua)
Roho yangu mali yako (Wewee utaniua niua)
No comments: