AUDIO | Meja Kunta Ft. Marioo & Mabantu – Demu Wangu REMIX (Mp3 Audio Download)
Demu Wangu REMIX is a singeli new song audio mp3 presented by Meja Kunta Ft. Marioo & Mabantu download and listen to Demu Wangu REMIX nakuachaje sasa mi sikuachi piga makofi mi sijuagi sijwagi kuachwa nang'ang'ana kama ruba mchumba unataka nini ulitaka nini anataka hela ela by Meja Kunta Ft. Marioo & Mabantu mario
NOTED LYRICS:
Weka tena
Demu wangu nimekupatia shida
Kukutongoza kidogo changu
Hiki najitosheleza kipi ulikosa
We mchumba ulipata cha ajabu leo unaniacha
Eti unasema una bahasha wako
Kudadeki nakupenda ww na huyo bwana ako
Nimesema sikuachi
Nakupenda wewe na huyo bwana wako
Ooh jamni kudadeki nakupenda wewe
Na huyo bwana wako
Nimesema sikuachi
Nakupenda wewe na huyo bwana wako
Oya we (oya we)
We dada ukishapenda penda kweli husije kuniacha dolo
Oya we hunitaki vipi muhuni ndo nishakufollow
No comments: