AUDIO | Abigail Chams X Marioo – Nani (Mp3 Audio Download)
Nan Lyrics by abby chams ft mario
Nampenda mmoja sitaki mwingine
Namtaka mmoja simtaki mwingine msiniwaze nalia naliaga
Hivi huku ndo wanaitaga kupenda
Siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya ndo mapenzi
Siwezi kulala bila haka ka dada
Siwezi kulala bila huyu kijana
Nampenda mpenda nani
Msichana mmoja mweusi kidogo
Mkaka mmoja mweupe kidogo
Anavyopita ananukia kama malaika, huyo shem wenu
Anavutia kama malaika, uyo shemu wenu
No comments: