AUDIO | Zuchu – Utaniua (Mp3 Audio Download)

AUDIO | Zuchu – Utaniua (Mp3 Audio Download)

AUDIO | Zuchu – Utaniua (Mp3 Audio Download) by zuch utaniuwa utani lala raha laha

NOTED LYRICS

Ona anacheka kama mazuri
Anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli
Eti kumwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeuri
Na kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufuriii

Oh! Baby mimi hapa taabani (wewe utaniuwa niuwa)
Nimeoza dah yarabi sihemii ( wewe utaniuwa niuwa)
Ah! Izo raha zakoo (wewe utaniuwa niuwa)
Roho yangu mali yako ooh (wewe utaniuwa niuwa)

DOWNLOAD


 

No comments:

Powered by Blogger.