AUDIO | Diamond Platnumz – Zuwena (Mp3 Audio Download)

AUDIO | Diamond Platnumz – Zuwena (Mp3 Audio Download)

AUDIO | Diamond Platnumz – Zuwena (Mp3 Audio Download)

Zuena NOTED LYRICS 

Mhhh!! Habari gani kaka naamini unanisikia Mimi mzima wa Afya Mama Mungu anasaidia Toka ulipotuacha Mahututi Anazidiwa Bibi Presha Presha nae akatangulia Bado twakuombea ulale salama Pema Japo Moyoni nina dukuduku Natamani kusemaaaa Nisemeeeeee Zile mali husia ulizotuhusia tuligawa Salama Zuwena Zote Tukampatia tusiwe ndugu lawama Ilaa!! Zuena Kaka amebadilika Sanaa Yaan shemlake Bi Zuuh wa leo sio yule wa jana Natamani Ungemuona Zuwena!!! Japo ungemuona Zuwena!!! Kidogo tu ungemuona Zuwena!!! Ungemuona Zuwena!!! Ooohh Ungemuona Zuwena!!! Aahh Zuwena Zuwena!!! Oohh ungemuona Zuwena Zuwena!!! Mhhh! Zuwena sasa kawa chotara Sio tena Cheusi Mangala Ngozi kaichubua awe Muzungu Anavuta na Sigara Mara Boko Mwananyamala Anachezesha tu miamala Kutwa anaisugua Kipepe Rungu Tena Peku bila ndala Aaah Zuwena siku hizi anabandika Kope Zuwena!!! Zuwena mipasuo kama yote Zuwena!!! Ooh Zuwena lipa shika tuondoke Zuwena!!! Aah Zuwena wanamuita cha wote Oooh oooh Juzi kabebwa na majirani hata hajitambui Zuwena!!! Yaan kalewa tafarani kautwika Mbwiiiii Zuwena!!! Zuwena sio tena wa ibada na dini Sadaka chenji asaidie Siku hizi kageuka pedeshee wa mjini Kutunza bendi wamsifie Na lile gari lako urithi wa babu la kulishia Ng’ombe Siku hiz kama kwato kwenye vilabu linabebea pombe Mama Dede kitandani hawez hata kutembea Zuwena ameshindwa hata kuja kumuona panadol kumletea Natamani Ungemuona Zuwena!!! Japo ungemuona Zuwena!!! Kidogo tu ungemuona Zuwena!!! Ungemuona Zuwena!!! Ooohh Ungemuona Zuwena!!! Aahh Zuwena Zuwena!!! Oohh ungemuona Zuwena Zuwena!!! Siku hizi kataradadi Anadanga anakula ndizi kwa maganda Anajiita JLO Anadanga anakula ndizi kwa maganda Eti muzungu mweusi Anadanga anakula ndizi kwa maganda Anatunyoosha Baba Anadanga anakula ndizi

DOWNLOAD


 

No comments:

Powered by Blogger.