AUDIO | Jay Melody – NITASEMA (Mp3 Audio Download)
NOTED NITASEMA LYRICS BY JAY MELODY
Unanikosha unaniwasha
Unalia paah, moyo wangu
Unanikosha unaniwasha
Unalia paah mmh
Japo sijawahi kuambia jinsi ninavyo kuota
Nakuzimia moyo umeuokota
Hii dunia nimempenda mmoja
Hizi hisia nitakwambi how I feel
No comments: