AUDIO | Kwaya Ya Mt.Kizito – Chozi La Damu (Mp3 Audio Download)
Chozi la Damu Lyrics
Watoto wa nyumba zote njooni tuungane
Tuwalilie wazazi chozi la damu
Tupaaze sauti zetu za majonzi na kwikwi
Kwa wachache wenye huruma watatusikia
Haki ya malezi bora tumenyang'anywa
Urithi wa maadili tumefutiwa
Oh dunia dunia, dunia unatutesa
Oh dunia dunia, tumekukosea nini
Oh dunia dunia, mbona hupendi watoto
Oh dunia dunia, sikia kilio chetu
No comments: