AUDIO | Zuchu – Napambana (Mp3 Audio Download)

AUDIO | Zuchu – Napambana (Mp3 Audio Download)

AUDIO | Zuchu – Napambana (Mp3 Audio Download)

NAPAMBA NA NOTED LYRICS BY ZUCH

Nipate ntoke patupu (kawaida hiyo)
Siku nzima niambulie buku (yakwangu sijaiba hiyo)
usiniulize naishije mjini (napambana)
Niokote machupa niuze siso (napambana)
Ata nkidanga jamani niacheni(napambana)
Niwe konda na ubungo migomigo (napambana)
Aaah eeeh iiih (napambana)
Aaah eeeh oooh (napambana)
Mikono juu mikono juu mkono juu
Wapambanaji mikono juu mikono juu

Sasa usimcheke aloshindia chunga
(Aliekula kala)
We wa biriani shibe hile hile (aliekula kala) aliyekula alie kula aliekula kala
Maharage roho ugali kilo kumi (aliekula kala)
Ukikula pizza bagger shibe hile hile (alikula kala)
Mama aliekula kala (alikula kala)
Aah aliekula kala (alikula kala)

Maji ya mdimu maji ya mdimu (saga saga saga saga)
Eeh Mungu wangu baba baba baba
Ziitikie dua zetu waja
Wapate magari sita nane saba
Tuvae gucci fend namikwada
Wewe acha kumbwela
Mungu habagui anawapa hadi ngedere
Uh wewe (wewe tafuta hela wanaokudharau watakuheshimu mbele)

DOWNLOAD


 

No comments:

Powered by Blogger.