AUDIO | Kontawa Ft. Harmonize – Champion remix (Mp3 Audio Download)
Champion remix is a new song audio mp3 presented by Kontawa Ft. Harmonize from Konde music worldiwe - konde gang which are under Harmonize download and listen to Champion remix by Kontawa Ft. Harmonize jeshi bakhresa tembo amonaiz hamonaiz.
NOTED LYRICS:
Tumeishi na watu wanao amini kwenye mpango wa Mungu kuna mkono wa mtu
Tumeshi na watu wanao amini sikukuu ndio siku ya kuchinja kuku
Ooya wee
Tumeishi na watu ambao waliotembea na umeme lakini bado nyumbani walikosa luku
Tukaishi na watu wanao amini bahati bahai zote alipangiwa bukuku
Apo mwanzoni waliamini atutopata mafanikio
Walio tufagilia wakauza mafagio
Eeh mtaani kwetu sio
Mtu aliye toboa sana alitoboa sikio
Chumba kimoja analala dada na kaka
Watu awatupi msosi ata ukichacha
Baba jambazi mototo anajiuza mtaani
Mama mchawi nyumbani atabaki nani
Aaa weeeh I'm the winner
I'm the champion
Aaa weee we i'm the winner
I am the champion
Champion champion
No comments: