AUDIO | Diamond Platnumz – Gongo La Mboto Ft. Mrisho Mpoto (Mp3 Audio Download)

AUDIO | Diamond Platnumz – Gongo La Mboto Ft. Mrisho Mpoto (Mp3 Audio Download)

AUDIO | Diamond Platnumz – Gongo La Mboto Ft. Mrisho Mpoto (Mp3 Audio Download)

QUOTABLE LYRICS

Poleni wale usiku hatujalala (Hatujalala)
Wale mabomu yamewapa madhara (Mmh madhara)
Yalosababisha maafa viro hasara
Poleni sana ndugu zangu (Eh! Gongo la Mboto)

Mpaka sasa hawana pakulala (Oh pakulala)
Watoto bado njaa hawajala (Hawajala)
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala (Nyingi sala)
Poleni sana ndugu sana

DOWNLOAD

No comments:

Powered by Blogger.