AUDIO | Diamond Platnumz – Nawaza (Mp3 Audio Download)
QUOTABLE LYRICS
Nawaza Vanny rayvanny na Elizabeth lulu clip zao za video zikivuja
Ndoa itaimarika eti au ndo ataifoja?!
Nawaza muchana,usiku jibu halifiki
Wanaonitukana, tuna bifu au ilimradi kiki?!
Nawaza kina mange Kimambi bwana wangekua wagawa ridhiki
Hivi kweli ningejulikana si wangenizima nsisike
Nilowaza leo nishawaza sana kina alikiba Kiba ugomvi kipi?!
Nikagundua ni ushamba na ujana wa kugombania mashabiki
Nawaa…naaawaaa…naawaaa… nawaza tu
Nawaa…naaawaaa…naawaaa… nawaza tu
Oooh nawaza
nice song ,
ReplyDelete